Mshahara wa mwalimu unavyotafunwa CWT

Naomba mwongozo ulijitoaje?
 
Ila sio LAZIMA AKWATE Mwl. Mimi hawanikati na niliwatimua wasithubuti kukata
 
Naomba mwongozo ulijitoaje?
Niliandika barua kupita Mkuu wa Shule,Afisa elimu na mkurugenzi kuandika kuomba kujitoa unatoka CWT then unahamia Chakuwahata wao wanakata elf Tano tu maaana mtumishi wa Umma unapaswa uwe kwenye vyama vya wafanyakazi
Niko occupied kidogo ningetumia rough format humu ya Ile barua yangu ila Sasa ufatilie maaana ukikaa kimya hawakutoi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aisee
 
Kwann wakukate mshahara hujajiunga? Wanakata kwa minajili ipi?
Anaambiwa ni ADA YA UWAKALA.

Yaani, Mfano wanajifanya wanatetea labda ongezeko la mshahara ikitokea LIKAPATIKANA na nyie ambao siyo wanachama MTANUFAIKA.

Kwahiyo Kwasababu Kuna mambo utanufaika ndio WANAKATA hiyo pesa Kama wanavyokata wanachama wao.

Ingawa ni WIZI tu unaofanywa kwa baraka za serikali.
 
Walimu wanapenda wenyewe kukatwa na CWT na hawataki kuona viongozi wao wa CWT wakihangaika kama wao. Walimu ni watu wenye moyo mzuri sana.
 
Warejelee mahesabu ya miaka kumi nyuma, kama kuna upotevu wahusika washughulikiwe kikamilifu, taasisi hiyo ipangwe upya chini ya taratibu zinazieleweka kisheria, mahesabu yake yakaguliwe kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…