Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Ni kazi ya wito tu hakuna anaelipwa... Mzalendo wa kwanza kwa taifa Lake ni MWANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI...
 
Nimekwambia recently mawasiliano ya kijeshi yalikua yanafanyika through yahoo wakati hacker anayeanza anaweza ku hack yahoo.
Mishahara ya jeshi inapita benki na nimesikia kuna salary slips.
Jamani, acheni kukuza mambo
Kwani mkuu hayajaisha tu bado mi mbona nishasahau.
 
Na nyie. Hasira zenu huko huko makambini. Mnaleta mihasira yenu hadi huku uraian kama vipi si muende libya. Huku ni social interactions
 
mkuu umeongea vizuri sana...jeshi ni KAZI kama kazi zingine ila kuna miKITWANGA mingine imetunisha macho mekundu humu inawapotosha watu kwamba jeshi ni KUJITOLEA wakati yenyewe imetunisha matumbo uraiani.
 
huyu jamaa hata nashindwa nimpe jibu gani bila shaka atakuwa anafikiria kwa kutumia matako
 
mkuu umeongea vizuri sana...jeshi ni KAZI kama kazi zingine ila kuna miKITWANGA mingine imetunisha macho mekundu humu inawapotosha watu kwamba jeshi ni KUJITOLEA wakati yenyewe imetunisha matumbo uraiani.
Kwa mara ya kwanza nimetokea kupenda michango yako but nakuomba upunguze asira.
 
Wito uko kwa mapadri na walimu tu acheni ubabaishaji
 
wewe ni mtu hewa kabisa. kwahiyo kama ni kodi za wananchi ndio waanike humu payroll yake? Never on Earth. Nenda Makao Makuu ya Jeshi Ngome utajibiwa maswali yako.
kama huna jibu si ukae kimya? kinakuwasha nini?
 
Huwa mnatajiwa walinunua sh. Ngapi?
kutajiwa BEI na KUONEKANA HADHARANI kipi kina madhara zaidi KIUSALAMA? ama kweli humu ndani kuna maKITWANGA yasiyokuwa na idadi...nawe ni mmoja wao!
 
Acha kutishia watu humu. Kama sio kazi na hampewi mshahara sasa salary slip za nini? Unajiona unajua mambo lakini bado saaana.
NB: hapa sio jeshini ni Jamiiforums na kaurimbio yetu ni We Dare to Talk Openly. So usitutisheeeeeeeeeeeee
Umetishwa na nani? Do you think jamiiforums is worthier than preserving some norms of each institution? Keep on knowing that jf is merely a social network, never expect to achieve confidential issues as you intended, rather you will receive some tiny drops of opinions related to your doubt or request....

You still having no ideas on this, and I bet you won't ever know, your problem is keeping yourself as special person who have the right of being informed each structure of a respective institution,
Know that you have got some limitations of your rights, on which obedience is a key object, don't think that you're too deserved...

For your such ideas we are slowly leaving behind our defence and intelligence capabilities for the reason of your rights!!!
 
N

Labda nguvu za kupasua matofali,acha kunichekesha eti maarifa maarifa yapi hayo huku technologia na vifaa vyote ni imported kutoka nje
Unaelewa maana ya teknolojia? Nenda kajisomee upya bado una safari ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…