Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

...hao ni tunawaita vilaza mkuu
 
Hivi ni kwanini wafuasi wa chadema ndio wanauliza mishahara ya watumishi wa serikali? Wana ajenda gani?
 
Mkuu ukimfuatilia huyo ndio muuliza swali alitumia ID nyingine halafu kaja kutetea kwa ID nyingine
 
mpaka #251 hakuna jibu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wanajeshi mmetisha, yaan hata wale memba hum hawatoi majib, duh kwel jesh noma, salut brother's...
Mkuu kuna vitu vinajibika lakini kuna vitu huwa havijibiki kabisa
 
Yani huyo kijana ambaye anaingia jeshini kufata mishahara hafai kabisa kuwa askari. Hafai kabisa, hawa ndio ambao wanaosaliti nchi kwa kununuliwa,

By the way acha kuuliza mishahara ya watu.[emoji378]
Haulizi mishahara ya watu, anauliza mishahara ya kwa kazi ya uanajeshi kwa viwango hivyo vya elimu. nani alikwambia mshahara jeshini ni siri nyeti? Unajua kama wewe ndio unawalipa mshahara wanajeshi kupitia kodi unayotoa (kama unalipa kodi lakini)?
 
Mkuu!Nilikuwa na shemeji yangu ameolewa na mwanajesh,lakni ktk tetec aliwah kusema jamaa alikuwa akpata c chni ya lak 7.wa kawaida sasa kwa wenye vyeo cjui na wewe fuatilia.
 
Mkuu!Nilikuwa na shemeji yangu ameolewa na mwanajesh,lakni ktk tetec aliwah kusema jamaa alikuwa akpata c chni ya lak 7.wa kawaida sasa kwa wenye vyeo cjui na wewe fuatilia.
Jibu zuri hilo
 
Wang'oa meno bila ganzi wanaipitia hii thread kwa kasi, inabidi mtu uwe attension na ganzi yako mfukoni kujinusuru na maumivu,
 
Safi sana mkuu,umefunga mjadala
 
ww jamal cyo kosa lako hujui unachokiongea jeshi ni sekta nyeti mno uzalendo ndo kitu kikubwa kuliko unavyodhani ukiona watu wanakmbilia jeshikwa kufata mshahara iyo n hatar coz mwanajesh ndo mtu anatakiwa kupigania nchi yake hata kama imefulia kiasi gn ndo mana ata anakubali kuhatarisha maisha yke muda wwte ule
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
w
 
Hongera, umeongeza idadi ya post, jitahidi.
 


Haaa haaaa teeh teeeeh ngoja nichekee kabisaaaaa,,, "kumbe ndiyo sababu hiyo yko yaa kwanza " inayokufanya unahitaji kujua mishahara yao na sio chochote! ila mi nakuhakikishia wanaohitaji mishahara ya wengine wana lao mfano SIO WANTANZANIA!! Hata Hon. Dr.Magufuli [President] alitoa, ila hakusema kila mtu mshahara wake utajwe alisema tu mtu asipewe zaidi ya 15M hakutaja nani au wapi. Elewa hivyo aisee mbona ni rahisi sana kuelewa!
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Jeshini mtu haendi kwa sababu ya mshahara wanaolipwa balia kila anayetaka kujiunga na jeshi ajue kuwa ni kujitolea zaidi, ni mzalendo zaidi kwa nchi yake na yuko tayari kufa wakati wowote pengine kabla hata hajaanza kupokea huo mshahara. Kama hao vijana wako wanatamani kwenda jeshini eti kwasababu ni kitonga huko hakuwahusu wasiende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…