Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Sometimes inakubidi u_control ego zako.Haaa haaaa teeh teeeeh ngoja nichekee kabisaaaaa,,, "kumbe ndiyo sababu hiyo yko yaa kwanza " inayokufanya unahitaji kujua mishahara yao na sio chochote! ila mi nakuhakikishia wanaohitaji mishahara ya wengine wana lao mfano SIO WANTANZANIA!! Hata Hon. Dr.Magufuli [President] alitoa, ila hakusema kila mtu mshahara wake utajwe alisema tu mtu asipewe zaidi ya 15M hakutaja nani au wapi. Elewa hivyo aisee mbona ni rahisi sana kuelewa!
Hakika kama ni askar hawawez kumwambiaKwani hao marafiki zake waliomuambia kwa nini ajawauliza? Au anashindwaje kwenda kambi za Jeshi kuuliza?
Nifundishe umejuaje ametumia ID fekiHii nchi inawatu wa ajabu sana mtu anatumia ID feki afu wewe unataka umjibu mambo ya kiusalama ndio uzalendo huu kweli?
kwani kama huna jibu ukikaa kimya utapoteza nini?
OK. UNADHANI NI KWA JINSI GANI KUFAHAMU MSHAHARA WA MWANAJESHI KUNAWEZA KUHATARISHA USALAMA WA NCHI? ELEZA KWA UFASAHA ILI HATA MIMI MWENYE KICHWA CHA PANZI NIELEWE.Unafahamu maana ya kusema kuwa "uko vizuri au kichwani kuna tatizo?" Jifunze kutumia lugha ya kiungwana au uungwana...hupungukiwi na lolote ukitumia lugha nzuri...ukitumia lugha mbovu unapungukiwa na mengi, moja ni kudharaulika katika jamii...kuandika kwa matusi, kejeli na dharau ni sawa na kutamka maneno ya dharau, kejeli na matusi katika jamii...fikiria mwenyewe ikiwa umezoea kutamka maneno ya dharau, kejeli na matusi katika jamii, watu wanakuchukuliaje? halafu humu ndani ya JF kuna watu wa aina nyingi jkwa umri, elimu, hadhi na kadhalika...Sasa basi kujibu swali lako HIVI UNAFIKIRI NI SAHIHI KUANIKA HADHARANI MISHAHARA YA WANAJESHI, POLISI NA WATUMISHI WENGINE WA VYOMBO VYA DOLA? kAA CHINI NA UTAFAKARI KWA KINA.
wameishajibu PM mkuu.upo sahihi, na kunawatu wanajua ila wanaogopa kuwa mashahidi kwa hili
Sheria za ajira zinasema unapoajiliwa first kuna makubaliano ya mshahara baina ya mwajili na mwajiliwa sasa uliza kama kuna mjeda ambae alikubaliana suala la mshahara.kama sio KAZI na MISHAHARA wanayolipwa ni ya nini? ama kweli kwewe ni ndama1 bado akili zako hazijakomaa.
Kuna shida kubwa katika nchi hii kutaka kufanya kila kitu eti ni nyeti.ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
bado hujajibu swali. kama mnadai jeshi sio KAZI ila ni KUJITOLEA mbona wanalipwa MISHAHARA (monthly salary)?Sheria za ajira zinasema unapoajiliwa first kuna makubaliano ya mshahara baina ya mwajili na mwajiliwa sasa uliza kama kuna mjeda ambae alikubaliana suala la mshahara.
OK. UNADHANI NI KWA JINSI GANI KUFAHAMU MSHAHARA WA MWANAJESHI KUNAWEZA KUHATARISHA USALAMA WA NCHI? ELEZA KWA UFASAHA ILI HATA MIMI MWENYE KICHWA CHA PANZI NIELEWE.
Uoga Wako umaskini Wako, hii nchi wanaume Ni waoga kuliko wanawakeBado unarudia kuandika lugha ya kuudhi: "mwenye kichwa cha panzi". Wewe ni mgumu kuelewa na pia kama hufahamu ubaya wa kutangaza hadharani mishahara ya wanajeshi na watumishi wengine wa vyombo vya dola, nadhani mjadala kati yangu na wewe tuishie hapa hapa.
Mi nawashangaa vidume vizimaaa, Kazi kujiweka nyuma kama kalioKuna shida kubwa katika nchi hii kutaka kufanya kila kitu eti ni nyeti.
Uoga Wako umaskini Wako, hii nchi wanaume Ni waoga kuliko wanawake
basi kama huna SABABU ya kuzuia watu wasijue mishahara ya wanajeshi, KAA KIMYA!Bado unarudia kuandika lugha ya kuudhi: "mwenye kichwa cha panzi". Wewe ni mgumu kuelewa na pia kama hufahamu ubaya wa kutangaza hadharani mishahara ya wanajeshi na watumishi wengine wa vyombo vya dola, nadhani mjadala kati yangu na wewe tuishie hapa hapa.
basi kama huna SABABU ya kuzuia watu wasijue mishahara ya wanajeshi, KAA KIMYA!
Asiye na njaa hahitaji chakula.Mi naona huyu na wengine wenye tabia hizi wasipewe hata ushauri wa mahali pa kwenda kupata hizo taarifa na ikitokea wamefika basi huko taarifa ziliko ijulikane kweli ni Watanzania na wanahitaji hizo taarifa kwa sababu zipi? ila kama sivyo daaah, tutakulachanga la macho.