MiniActivist
Member
- Dec 9, 2011
- 67
- 47
- Thread starter
-
- #281
Kinachoonekana hapa kuna wengine hatufaham ila kunyamaza inakua tatizo.Mshahara wa mwanajeshi kuwekwa hadharani una madhara hani katika nchi? nadhani ni uoga na hofu isiyokuwa na msingi, hawa wanajeshi tunaishi nao mtaan ni ndugu na marafiki zetu mishahara yako, posho zao na benefits nyingine kwenye financial institutions tunazijua kwa uwaza tu. Mtu angeuliza mafunzo wanayopitia angalau tungeweza kusema siri ila sio mshahara. Na jeshi sio kujitolea kwa miaka hii ni ajira kama ajira nyingine tu na wanamishahara mizur kuliko kada nyingine kama Polisi, Magareza , waalimu na Afya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sasa mkuu tutasikia hivi mpaka lini?Nisawa na watumishi wengine wa Serikali. Ila ukioa unapata posho ya mke ni kama 75% ya mshahara. Kuna jamaa aliniambia hivyo ila sina uhakika.
Na hiyo posho ya wife, anaweza kuomba awe anachukua wife mwenyewe kama wewe huaminiki.
Comment #40 [emoji2][emoji2][emoji2]Degree ni 1.5m
Ni mawazo yako Ndama1.Jeshi sio kazi, jeshi ni shughuli!
Mara mia kuuliza ukapewa jibu lisilosahihi ukamnukuu mtoajibu kuliko kuwaelimisha watu kupitia tetesi.Kuuliza sio ujinga
Ni taarifa muhim pia umetoa.Jeshini mshahara si issue kubwa bali huduma na posho
Kweli we wa bodaboda [emoji23].Unahoji mshahara was mwanajeshi unataka kujua ili iweje? Unataka kufanya hujuma?
[emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji1][emoji6][emoji28]Nenda lugalo pale ukaulize kama hujaambiwa uwashe kifaru bila betri
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
ngwa tu hivi kweli huyu alishindwa kupata taarifa za mishahara ya jeshi mpaka aulize kwenye mitandao. Wanajeshi kibao tunawafahamu wanaishi mitaani kwetu anacho kingine anachokitafuta zaidi ya mshahara.hata akiujua utamsaidia nini sasa, mshahara wa Raisi hata ukiujua haukufanyi uvutike kuiomba nafasi hiyo,,,, sasa jeshini ni kada ya kawaida kabisa kama mtu unapenda kujiunga na jeshi wewe nenda kajiunge si basii suala la mshahara utakutana nalo huko huko sio suala letu huna uzalendo wewe maana unatanguliza pesa sana badala ya wito binafsi
Kweli, atakuwa na lake huyu na hao vijana wake!Watu wamekaa kinongwano
ngwa tu hivi kweli huyu alishindwa kupata taarifa za mishahara ya jeshi mpaka aulize kwenye mitandao. Wanajeshi kibao tunawafahamu wanaishi mitaani kwetu anacho kingine anachokitafuta zaidi ya mshahara.
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.