StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 391
Jibu zuuri saaaana umelijibu ila kwa mwelewa ndo atalielewa...Kazi ya jeshi lazma uwe mzalendo, hakuna mshahara unaoweza kuzidi uhuru na haki ya kuishi, mwanajeshi ni mtu ambaye uhai wake ameutoa bila kujali gharama, hao vijana wako lazma wajue hilo.
kwani JESHI ni KABURI? acha vitisho vyako vya KILEVI!
Mshahara ndio una hamasisha ama uzalendo?ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Hongera kwa kucomment na wewe, tuma salamu kwa watu wawili sasaMshahara ndio una hamasisha ama uzalendo?
Ndo ujibu sasa..Sijaona tatizo la mtoa mada, ameomba kujuzwa tu. Mbona hata mshahara wa Rais unajulikana sembuse wa wanajeshi?
Nadhani badala ya kubaki unaandika ungeweka wewe huo mshahara kuliko kubwabwaja tu mnakaa na wanajeshi mtaa upi? Au umechanganya na police?Mshahara wa mwanajeshi kuwekwa hadharani una madhara hani katika nchi? nadhani ni uoga na hofu isiyokuwa na msingi, hawa wanajeshi tunaishi nao mtaan ni ndugu na marafiki zetu mishahara yako, posho zao na benefits nyingine kwenye financial institutions tunazijua kwa uwaza tu. Mtu angeuliza mafunzo wanayopitia angalau tungeweza kusema siri ila sio mshahara. Na jeshi sio kujitolea kwa miaka hii ni ajira kama ajira nyingine tu na wanamishahara mizur kuliko kada nyingine kama Polisi, Magareza , waalimu na Afya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kumbe wanaokwenda jeshini wanafuata nini kama si maslah ya kuendeleza familia yake,hii ni kazi kama kazi nyengine wacheni kujifanya wazalendo sana, huo sio uzalendo Bali ni upuuzi tu,kabla mtu hajajiunga na taasisi yoyote maslah kwanza, unawezaje kuilinda nchi kizalendo na njaa? Haiwezekani, huyu jamaa ni makini sana ndio maana anauliza ili ikiwa ina maslah ajiunge ikiwa haina atafute kwenye maslah na yy.Ukifuata mshahara jeshini jeshi litakushinda.
Povu [emoji15] [emoji15]wewe mwambie mshahara...kama hujui kaa kimya...kushindwa kwake jeshi hakukuhusu.
Kuna baadhi ya radio kuzima hadi utoe batterymshahara ndio kitu cha kwanza....kama hujali mshahara ni wewe na familia yako...waache watu waulize maswali...acha vitisho vyako vya kipumbaFU.
Sasa kama huo mshahara umetangazwa hadharani si unaujua, kwanini usiuweke hapa mtoa mada akafahamu? Unakuwa kama fenesi tu miba mingi ila ndani tamukwani ameuliza idadi ya vifaru na ndege za jeshi zinazofanya kazi? acha vitisho vyako vya KILEVI...mshahara sio suala la kiusalama...ndio maana huwa inatangazwa hadharani. .. hata magufuli anaitamka hadharani. kama hujui kitu kaaa kimya MLEVI mkubwa.
[emoji28] nimejikuta nafurahi tu.. Bila shaka umezaliwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tatu, mengi hujayajua...haulizi MISHAHARA YA WATU bali anauliza MSHAHARA WAKE atakaolipwa pindi akijiunga jeshi. wewe kinakuuma nini? mijitu mipuuzi kama wewe ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Obama ulijulikana haya taja wa mwanajeshi wa marekaniAdui wa tanzania ni ccm,kama obama amri jeshi mkuu wa jeshi la marekani mshahara wake unajulikana isitoshe wadogo walio chini yao
Imeandikwa vitabu gani hiyo?mshahara ndio kitu cha kwanza....kama hujali mshahara ni wewe na familia yako...waache watu waulize maswali...acha vitisho vyako vya kipumbaFU.