godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Inabidi unaelezea ni adui kivipi na wapi watu wakaulizie na ujue Tanzania sio dar es salam tu huwenda mtoa post yupo kigomaWatanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Kigoma hakuna kambi za jeshi? Akaulize hapo au kwa mshauri wa mgambo.Inabidi unaelezea ni adui kivipi na wapi watu wakaulizie na ujue Tanzania sio dar es salam tu huwenda mtoa post yupo kigoma
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja.
Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Rates za mshahara so siri. Tatizo ni kusema flani anapokea mshahara flaniWatanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja.
Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Kuna jamaa mmoja aliwahi nambia kuwa wao wanalipwa posho na siyo mshahara.Ndio wanayo mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna jamaa mmoja aliwahi nambia kuwa wao wanalipwa posho na siyo mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa mmoja aliwahi nambia kuwa wao wanalipwa posho na siyo mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew sio Kweliii takukuru anamzid mwanajeshi kwa mshaharaKwa kizazi cha sasa hakuna mwenye wito na kazi yoyote bali mshahara.
Walikuwa na uzalendo ni akina msuguri maana hao walikuwa tayari kufanya kazi ya jeshi bila hata kulipwa chochote na wakaridhika. Miaka hiyo jeshi halikuwa na mishahara wala maripurupu ya kuvutia na ndio maana watoto wa masikini na watu wasio na connection ajira pekee ilikuwa ni jeshi.
Miaka hiyo watoto wa vigigo ama vijana wasomi usingeweza kuomba jeshi maana haikuwa kazi ya hadhi. Ilikuwa ni nadra sana kumkuta mwanajeshi anamiliki gari ama nyumba nzuri labda kuanzia cheo cha brigedia angalau.
Baada ya jeshi kuboreshwa miaka ya elfu mbili mwanzoni pamoja na ukosefu wa ajira ndipo vijana wakaanza kukimbilia jeshini wakivutiwa na mishahara bora na uhakika wa ajira.
Kwa hiyo tusidanganyane, mleta mada yuko sahihi sana mshahara mzuri ndio kigezo cha jeshi kupendwa.
Kuna wakati vijana wengi miaka ya kati ya elfu mbili vijana wengi waliacha jeshi na kujiunga TAKUKURU kwa sababu walikuwa na package nzuri kuliko jw.
We jiulize kwa nini polisi na magereza hawakimbiliwi zaidi ya mtu kwenda ilimradi kufuata ajira baada ya kukosa kwingine?
Kwa nini vijana wanapenda TRA,TPA,TCRC, TANROAD nk?
Jaribu siku hao unaoita wazalendo wakate mishahara ama wasilipwe uone tifu lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unafikiri hawajui!?? Mpaka vibunduki vyetu wanajua tunanunua wapi!!SIPATI PICHA USA NA MABEBERU WENGINE
WAJUE MISHAHARA YA JESHI NI CHINI YA DOLLA 600 WANGENUNUA JESHI PLUS KILA KITU
Mshara wa uhamiajiiiInategemea na Rank nikupe kwa uchache tu.
-Hawa Manjuka "MAKURUTI" - Recruit wanalipwa Kama Laki 9 hivi Jumla
-Mbavu za Mbwa - V moja mpaka V3 Wanacheza 1m - 1.2m
-Nyota 1 Mpaka Nyota 3 - Wanacheza na 2m
-Nenda na Range hiyo Tofauti ya laki 2 hadi 3 kila Rank,mPaka utafikia level za Mageneral.(Pia tambua kila level reshen,per diem,allowance zinategemeana na scale ya mshahara,resheni ya KURUTI na KEPTENI ni tofauti....kwahiyo nako kuna utofauti)
Unataka kujua ili iweje, na ukishajua ufanye nini?Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja.
Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.