Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Khaa..! Siwez endelea kubishana zaid, kama pesa inazidi thamani ya uhai wako.
Mkuu nadhani hujui unachokisema. Kila kazi ina risk zake. Madaktari wangapi wanawatibu wagonjwa wa UKIMWI bila groves? Walimu wangapi wamefungwa maisha kwa kutembea na wanafunzi? Wafanyakazi wangapi wa TANESCO wamefia kwenye nyaya? Hivi mnadhani jeshi ndo kazi ngumu kuliko zote?
Acheni dharau.
 
Upo O.P
 
Ulichokiandika ndicho anachokitaka hasa jamaa uzuri nilipata kupitia kidogo mambo ya udukuzi hivyo nawajua vizuri hawa watu.
 
Siasa umeisema wewe. Katika hali ya kidemokrasia kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake. Kama una mtazamo tofauti kuwa huru kuzungumza kwa upande wako.
Sidhani kama Jeshini wanatumia Demokrasia kule.
 
Ulichokiandika ndicho anachokitaka hasa jamaa uzuri nilipata kupitia kidogo mambo ya udukuzi hivyo nawajua vizuri hawa watu.
Yaaani adui anaitaji siri za jeshi anatumia Jamiiforums? Labda wale maadui watatu alowasema Mwalimu Jk.

Hivi unajua mpaka sasa jeshi letu linatumia Yahoo?
Jaribu kupitia michango yangu utanielewa
 
Hahahahahahahahahahahahahaha we jamaa umenifurahisha sana eti risk ya mwalimu ni ipi!!?!

Bila kuathiri flow ya mjadala naomba kukuita #kilaza.
 
Jamaa angeuliza mshahara wa askari polisi au mwalimu angekuwa keshajibiwa muda sana lakini kwa sababu kauliza JW basi imekuwa ni sarakasi zisizo na maana. Mara wapo kwa ajili ya manufaa ya Taifa, kwani wengine wapo kwa manufaa ya nini?Na hebu wasilipwe mishahara tuone kama hawajaingia barabarani kuandamana.
 
Yaaani adui anaitaji siri za jeshi anatumia Jamiiforums? Labda wale maadui watatu alowasema Mwalimu Jk.

Hivi unajua mpaka sasa jeshi letu linatumia Yahoo?
Jaribu kupitia michango yangu utanielewa
Ivi unafikiri watu wangapi wanapitia humu? Na je wote ni wema kwa taifa? Kingine ujue adui yako anahitaji taarifa ndogo sana kutoka kwako hivyo hakuna siri ndogo wala kubwa.
 
Ivi unafikiri watu wangapi wanapitia humu? Na je wote ni wema kwa taifa? Kingine ujue adui yako anahitaji taarifa ndogo sana kutoka kwako hivyo hakuna siri ndogo wala kubwa.
Wewe umesema ni mdukuzi, hivi mtu kama ni adui anataka kuvamia taifa atashindwa kudukua taarifa za kijeshi?
Labda kama unaongelea adui wa mwanajeshi mmoja mmoja
 
wewe mtu kuuliza mshahara kutoka kwa wanajeshi waliomo humu jf kinakuuma nini? kwani wanatumia kifurushi chako kumjibu mhusika? mbona una roho ya KICHAWI hivyo?
 
Wewe umesema ni mdukuzi, hivi mtu kama ni adui anataka kuvamia taifa atashindwa kudukua taarifa za kijeshi?
Labda kama unaongelea adui wa mwanajeshi mmoja mmoja
Sasa njia mojawapo ya kudukua ni hii anajua Watz ni waropokaji sana kwenye social media mtasema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…