Mshahara wa mwezi juni 2020

Walimu acheni njaa za namna hi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa mkuu Ila na nyie mkuu kasema hakuna ajira inaitwa kupiga debe mkauze zabibu [emoji23][emoji23]
Sawa mkuu ila na nyie mnatusumbua Kila mwezi kuulizia mishahara jamiiforum[emoji12][emoji12][emoji12], kwani hamjui siku au tarehe za mishahara?

Jamani acheni kuabudu njaaa
 
Dhana ya kimaskini sana kutegemea tu mshahara.Tena mshahara ambao hata ukiupata hauwezi kukusaidia shida zako na bado ukabaki kwa ajili ya kukutana na mshahara mwingine.We need Plan B hata ikibidi C.SUppose mlipaji akipata tatizo au kukatokea sababu yeyoye tu ya kutolipa kwa mwezi husika si ni janga hilo.
 
Ndio maana hatukuweka lock down wakati wa Corona ipo juu hapa Tz, sio watumishi u kila mtu alikuwa anapambana tusifungiwe, acha watu wategemee kile wanafanyia kazi asubuhi mpaka jioni
 
Mimi nimepokea kama saa nne hivi leo, but wenzangu wanasema hawajauona bado.
Mimi niko crdb wengine wako nmb
 
Sawa mkuu ila na nyie mnatusumbua Kila mwezi kuulizia mishahara jamiiforum[emoji12][emoji12][emoji12], kwani hamjui siku au tarehe za mishahara?

Jamani acheni kuabudu njaaa
Dah sawa mkuu, tutakuwa tunawauliza mods hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…