Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

Serikali imeanza kulipa tarehe 32
 
Bado bila bila
Duuh hatari , kwa kweli tanzania saiv hali ni mbaya ya ufisadi watu wanachota mapesa bila woga....wanaficha wakisikiliza mshindo..kikinuka tu hao dubai au uk na familia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…