Mshahara wa RAIS MPYA KENYA (Uhuru kenyatta) HUU HAPA

Mshahara wa RAIS MPYA KENYA (Uhuru kenyatta) HUU HAPA

Didia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
719
Reaction score
260
"Just before the polls, the newly set up Salaries and Remuneration Commission announced that President Mwai Kibaki's successor would be earning $14,465 (£9,592) a month, down from a monthly income of $23,331 (£15,494). MPs, much criticised for voting themselves massive pay rises in the past, will also be getting less - $6,257 a month - a cut of about $3,700. Under the new constitution, politicians' salaries and allowances are taxable at a rate of 30%."

Source BBC

Kenya wamefanikiwa sana kujenga taasisi. Kwa njia hii urafi wa wanasiasa wetu tunaowachagua hapa TZ unaweza dhibitiwa. Katiba mpya iunde tume ya mishahara
 
Tanzania viongozi ni wanafiki, watatetea hili kesho wako upande wa pili. Pia watanzania tunasahau haraka tukiwa na matatizo inakuwa hot baada ya muda kimya na viongozi wameshatujua,
 
Mishahara ya Tanzania nayo ni transparent?
 
"Just before the polls, the newly set up Salaries and Remuneration Commission announced that President Mwai Kibaki's successor would be earning $14,465 (£9,592) a month, down from a monthly income of $23,331 (£15,494).MPs, much criticised for voting themselves massive pay rises in the past, will also be getting less - $6,257 a month - a cut of about $3,700. Under the new constitution, politicians' salaries and allowances are taxable at a rate of 30%."

Source BBC

Kenya wamefanikiwa sana kujenga taasisi. Kwa njia hii urafi wa wanasiasa wetu tunaowachagua hapa TZ unaweza dhibitiwa. Katiba mpya iunde tume ya mishahara

Kwa hesabu ya haraka kwa TShs anapata 23,144,000 kwa mwezi, siyo mbaya, bora kuwa wazi hivyo inaeleweka kuliko kufichaficha na wavuja jasho wasijue. Lakini sasa gharama alizotumia kupata huo urais balaa!
 
Yes, they are ahead of us in everything including, ufisadi!
Acha rongorongo, wako mbele kwa kila kitu ila kwa ufisadi sasa hawafikii, kwani mwanzoni tuliwacheka na kuwapa jina eti manyang'au! Lakini sasa tumewapiku mbali; so unajua tena Tanzania ina wenyewe tena wenye meno ya chuma? Sasa kila anayeikwaa uongozi sharti avute ngawira toka shamba la Bibi (Tanzania).
 
Kwa level ya uchumi wao na kiwango cha kujitegemea katika bajeti mshahara huo kwa Rais unaweza kuwa halali. Ila Kibaki alikuwa amejipendelea mno. Tanzania unaambiwa mshahara wa RAIS, majaji, mawaziri nk. ni Siri!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sidhani kama ameenda pale kutaka mshahara mnono!kulinda maslahi yake,familia zile 3 kubwa.....na kuwapa wakenya maelendeleo kwa uwezo wake woote!mshahara si hoja maana ana vyanzo vingi sana vya mapato yake binafsi......na deal zoote zitapita kwake ,uchumi wote uko kwake!BOK kwake.....safari na nadhani kila kitu anapewa na serikali chakula,nguo ,usafiri makazi...etc......
 
"Just before the polls, the newly set up Salaries and Remuneration Commission announced that President Mwai Kibaki's successor would be earning $14,465 (£9,592) a month, down from a monthly income of $23,331 (£15,494).MPs, much criticised for voting themselves massive pay rises in the past, will also be getting less - $6,257 a month - a cut of about $3,700. Under the new constitution, politicians' salaries and allowances are taxable at a rate of 30%."

Source BBC

Kenya wamefanikiwa sana kujenga taasisi. Kwa njia hii urafi wa wanasiasa wetu tunaowachagua hapa TZ unaweza dhibitiwa. Katiba mpya iunde tume ya mishahara

Red
When Tanzanian politicians will agree to pay taxes on their salaries and cash allowances as stipulated in the Income Tax Act 2004? @Zito John Mnyika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom