Mhandisi wa Umeme Member Joined Jan 6, 2012 Posts 31 Reaction score 4 May 8, 2012 #1 Habari zenu walimwengu, Naomba anayefahamu ngazi ya pgss 14-15 serikalini. Nashukuru sana.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 May 8, 2012 #2 kati ya 1.2 hadi 1.5m mzee gross salary,net c chini ya 1m kaka,kila la kheri,ukumbuke kuwatoa na wadogo zako,mungu atakuona
kati ya 1.2 hadi 1.5m mzee gross salary,net c chini ya 1m kaka,kila la kheri,ukumbuke kuwatoa na wadogo zako,mungu atakuona
Ronn M JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 1,279 Reaction score 684 May 8, 2012 #3 Naweza kufahamu TGS D?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 May 9, 2012 #4 Ronn M said: Naweza kufahamu TGS D? Click to expand... haizidi 350k.
+255 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 1,940 Reaction score 762 May 9, 2012 #5 Senetor said: haizidi 350k. Click to expand... Ni zaidi ya hiyo
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 May 10, 2012 #6 tgsd ni 480000
SOKON 1 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 1,134 Reaction score 331 May 25, 2012 #8 +255 said: Ni zaidi ya hiyo Click to expand... ngapi? specify
M Memory Senior Member Joined Jun 29, 2011 Posts 106 Reaction score 37 May 26, 2012 #9 Je PRSS 5 ni ngapi?
G gwandi Member Joined Apr 22, 2012 Posts 12 Reaction score 3 May 29, 2012 #10 Habari zenu humu,je mshahara wenye TGSG ni shilingi ngapi?