MSHAHARA WA SERIKALI plz !!

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Eti kwa wanaojua take-home ya degree ambao kwa mwakahuu basic ni 469,200 ni shingapi? Mbona wanapewa 371,000 ? Is it fare? Give us informations plz "knowers"
 
Niambieni fasta nimezuia gari ya DEO (Distr Ed Off). Haondoki kweli?
 
off topic kidogo: hivi ipi afadhali, kufanya kazi serikalini au kwa mkoloni, kwa usawa huu wa life bongo?
 
Ridhika na unachokipata kijana, acha tamaa. Hapo ujue umekatwa kodi pamoja na malipo yako ya uzeeni. Njia nzuri ya kuongeza kipato ni kujifungulia kabiashara wakati huu bado matatizo ya kidunia hayajaanza kukukumba. Pia kwa kahela hako usilogwe kuanza kupiga ulabu au kukopa gari kwani kote kataishia katika bia na petroli then uingie katika vishawishi vya rushwa na wizi wa mali ya umma
 
Sawa biashara muhimu! Ila wanachokata ni sawa? Halafu ni mapema hivi? Utadhani ni makato hata ya loan board! Ah, .
 
Halafu cwt nyie, nyinyi, nyinyi, labda nisimshike mtu.
 
Pendael mwanangu cyo hivyo!, wanaudhi hawa watu.
 
Haya niruhusuni nimchape kibao kimoja huyu DEO nimwache aende mimi niende sero au nivumilie tu nisikilizie upopo wa Tz unakonipeleka. Cjamckia hata m-1 AKISEMA NI SHINGAPI.
 
Eti kwa wanaojua take-home ya degree ambao kwa mwakahuu basic ni 469,200 ni shingapi? Mbona wanapewa 371,000 ? Is it fare? Give us informations plz "knowers"

Kuna makato mengi,Bima ya Afya,PSPF pamoja na Income Tax,Kama ulisoma kwa MKOPO unakatwa pia!
 
Sina maana ndo tumeanza kulipwa mwezi wa kwanza wa ajira. Semeni shingapi sasa kinastahili kulipwa? Pila ya HESLB Kukatwa.
 
Haya niruhusuni nimchape kibao kimoja huyu DEO nimwache aende mimi niende sero au nivumilie tu nisikilizie upopo wa Tz unakonipeleka. Cjamckia hata m-1 AKISEMA NI SHINGAPI.

itakuwa ni sahihi ndugu yangu. Kumbuka kuna kodi na michango mingine mingi inakatwa toka kwenye hiyo basic yako. Bima ya afya. Social security , tax, cwt, na mengineyo. Na ukizubaa unakatwa hadi dawati. Hawana adabu hawa. Natania.
 
Sina maana ndo tumeanza kulipwa mwezi wa kwanza wa ajira. Semeni shingapi sasa kinastahili kulipwa? Pila ya HESLB Kukatwa.

TRA na penginepo wanalipwa tofauti sana. Na hapa ndipo tutahitaji changes za lazima hapo bdae. Binadamu wote ni sawa. Tra walipwe kama walimu kwa kuwa hakuna mantiki ya kuwalipa mamilioni ili hali wanaiba kama kawa. Au ndo alienacho kuongezewa?
 
Mshahara unatofautiana kati ya degeree na degree ndugu. Daktari na Mhandisi tofauti pia mhandisi na mhasibu au mwalmu ni tofauti sana. Hebu angalia salary slip ndugu, jibu utalipata tu. Hizo salary slip hazitengenezwi na halmashauri bali wizara ya fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…