Heshima zenu Jf na wapenzi wa jukwaa letu la kujitafitia ajira.
Kuna kazi nimeona imetangazwa yenye ngazi ya mshahara PUSS 13-14 sasa wadau naombeni mnijuze hiyo ni kama shs ngapi za TZ.
hiii itanisaidia kunipa mzuka wa kuomba.
natanguliza shukrani zangu