Mshahara wa waajiriwa wa bodi ya mkonge

Mshahara wa waajiriwa wa bodi ya mkonge

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu,

Naomba nijuwe mshahara ya degree kwenye ajira ya bodi ya mkonge kwa anayejua.

Nashkuru sana
 
Bodi huwaga hawana baya kwenye salary posho na marupurupu mengine ...
Na ukiwa mtaalam wakuandika madokezo utakula pesa adi uzikimbie...
Kama umepata mzee usirembe nenda fastaa....
 
Habari zenu,

Naomba nijuwe mshahara ya degree kwenye ajira ya bodi ya mkonge kwa anayejua.

Nashkuru sana

Hii bodi bado ipo? Toka afe Shamte mahabusu nilidhani nayo ilizikwa nae; si alijibinafsisha hiyo bodi enzi za Mkwere waliyekuwa nae ubia!!!
 
Hii bodi bado ipo? Toka afe Shamte mahabusu nilidhani nayo ilizikwa nae; si alijibinafsisha hiyo bodi enzi za Mkwere waliyekuwa nae ubia!!!
Ndo imefufuliwa na serekali ametuliwa mkurugenzi mpya angalia mtandaoni news ya mkonge utaiona
 
Bodi huwaga hawana baya kwenye salary posho na marupurupu mengine ...
Na ukiwa mtaalam wakuandika madokezo utakula pesa adi uzikimbie...
Kama umepata mzee usirembe nenda fastaa....
Nashkuru...unajuwa inaweza ikawa ngp
 
Nashkuru...unajuwa inaweza ikawa ngp
Ndefu mzee kibongo bongo.... ukisikia posho zinatafunwa basi ni kwenye mabodi ayo ... nights za kujipimia....
Kibarua tu wa Bodi anakunja sio chini ya laki sita....
Mishahara Bodi huwa inaanzia M kwa Bodi zote nilizopita... sijui iyo na mara nyingi kila kituo kinakua na Budget yake ,mafuta,chakula nk ...
Kuna Bodi fulani ilikua kuna kazi flani ukipewa ndani ya miezi minne unaondoka na sio chini ya 35m posho tu iyo nje ya salary ... sijui siku hizi !
Nisibonge sana nikatia mchanga vitumbua...
 
Back
Top Bottom