stevenkatalas
Member
- May 24, 2022
- 88
- 68
πππ ndioKuna unaemdai?
Bank gani?Tayari boss
Daaah sio poaBado
πππsubiri jtatu
Ananilipa hela yanguBebi alikuahidi mshahara ukitoka anakununulia nini
Mshahara ya serikali inategemea uko sehemu ipi serikalini na siyo lazima uingie siku moja. Wapo tuliolipwa tokea JanaBank gani?
Ndo ufungue akaunti mpyaπ₯³Ananilipa hela yangu
Mapot toka jana mnachrka tuπππMshahara ya serikali inategemea uko sehemu ipi serikalini na siyo lazima uingie siku moja. Wapilo tuliolipwa tokea Jana
Ni wazi kwamba ukifukuzwa kazi leo, kinachofuata wewe utakuwa maskini wa kutupwa.Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?