Mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima?

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
90
Reaction score
218
‎Mwaka 2023 kuna jamaa angu aliajiriwa alikua analipwa 600k kwa mwezi, ili mishahara yake haijawahi kukutana, kila mwezi alikua anaanza na zero. Na hapo alikuwa hana mke wala mtoto. Tuongee ukweli! Huo mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima? 🤔
‎
‎
‎
‎
 
Ukitaka kuendelea jiajiri
 
Pesa ya Mshahara haitoshi,,,,, !

Kama unapata pata posho walau , au uwe na deals nyingine za kukuweka mjini kama biashara n.k !
 
Kwamba kila mtu anategemea mshahara au?

Kuna mahali mtu analipwa 150k kwa mwezi ila marupurupu ni 1.5+milioni kwa mwezi.

Kuna mwingine analipwa 600k ila kwa mwezi ana wastani wa milioni 3.

Kada ambayo ina hali mbaya sana ni walimu maana hawana marupurupu zaidi ya msimu wa sensa na uchaguzi au michango ya watoto.
 
Mbona unaeleza ya wengine na kutaka kujua yetu sisi angali wako hujaweka bayana unakutosha au haukutoshi
 
Mimi hata nikilipwa laki kwa mwezi naishi Tu😎😎😎😎
 
Mshahara haujawahi kutosha mkuu. Mafisadi wanalipwa mapesa kibao, lakini bado wanaiba.
 
Mshahara ukikutana ww hujui matumizi ya hela mshahara unakutanaje kwa mfano, serikal ikikupa hela ya mradi mfano usipotumia mpaka tarehe 30 mwezi wa 6 wanazichukua zote wanapeleka hazina wakijua ww n bwege unashindwaje kutumia hela zote
 
Ldbda waje viongozi wenye uwezo wa kitambua mahitaji ya wafanya kazi nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…