Haloo,
Nina mshahara mdogo sana pale ninapofanyia kazi nina mke pia, nafanya kazi from sa 7:00 to 5:30 jion, mshahara wangu ni laki mbili tu kwa mwezi, nifanye biashara gani japo nijikimu kidogo au niitumieje ile pesa ili niweze pata ukaji vizur, ila ndio zangu ni kununua bodaboda au bajaji ya kubeba watu, nianze vip? Hapa kazini nina mda wa miezi mitano, ushauri tafadhali