venancehamza
Member
- Jun 8, 2025
- 40
- 68
Fafanua kidgo kiongozi, makosa kama yapi hasa?Hao waajiri wamekupiga changa la macho maana SWIFT huwa haidanganyi na huwa inaonyesha makosa yako palepale.
Komaa na HR anayehusika na mishahara ndio anatakiwa asolve hiyo inshu yako.Kwema
Kuna changamoto nimeipata kwangu ni mpya na sielewi niitatue vipi au niende wapi ama napaswa kusubiri.
Ni kuhusu malipo ya mshahara wangu, wenzangu walilipwa mapema kabisa mwezi huu. Mimi sikulipwa, nikafatilia nikaja kujua kua walikosea account ya malipo, kwenye account number yangu walisahau namba moja hivyo ikawa imekosewa
Taarifa hiyo ilivyopelekwa juu, wakanirudia na kuniambia malipo yangu tayari niwe nacheki salio, mpaka jana holaa.
Nilipowarudia tena wakanitumia "swift document" hapa ndo mkanganyiko ulipoanza.
Walidai niende benki yangu kufatilia malipo yangu kwa kutumia hiyo doc, ila kwenye hiyo doc kuna ile account iliyokosewa, sio yangu nilipowaambia wakasema hilo limeshakua solved nitumie tu hiyohiyo doc.
Nilipoenda bank nikaambiwa lazima iwe ni account yangu, pia hiyo swift inabidi wafatilie waajiri wangu kwenye bank ambako pesa iko, maana mimi ni nmb hiyo account ya kampuni inayonilipa ni crdb.
So nmb wanadai pesa haipo kabisa kwao, ofisini wanashikilia swift yao.
Mwenye uelewa wa haya mambo hasa hii swift inafanyaje kazi na napaswa kukomaa na nani hapa, naona wanatupiana mipira bank na kampuni yangu.
stakehigh na wachumi msaada tutani.
Kama una uelewa na hili basi nikupm ili nikutumie hiyo swift, nachotaka kufahamu ni kuwa, nikomae na bank au hawa waajiri maana wao wanadai wamelipa tayari.
tubless sasaWakuu, shukran kwa maoni yenu.
Nimekomaa na mwajiri tayari kibunda kimesoma.
Ikiwapendeza Moderator wafunge uzi .
Weka namba mkuutubless sasa
Kwa nature ya kampuni yetu huyo boss wangu nae atamrudia HR tu.Kipindi flani nafanya kazi ya ulinzi kampuni flani nilitokewa na hilo swala hivyo hivyo. Wiki nzima mshahara hakuna nakahamia kwenye kampuni na begi la nguo kabisaa. Siku moja hr akaingia asubuhi akanikuta jioni akatoka then akarudi kufata laptop yake mida ya mbili ananikuta tena getini. Akaniuliza kwa nin nipo pale nikamwambia nimeamua kufanya kazi ili anayenilipa mshahara aridhike na anacho nifanyia coz wenzangu wamelipwa na mimi zangu bado. Ikabid anipe laki akaniambia subiri hapo nakuja nikupeleke nyumbani kesi yako ntaifanya kesho asubuh na kwel asubuh natinga ofisini kwake bila gwanda madam wa mishahara akaitwa kuulizwa why me not pata mshahara akaanza na sorry kama zote na hapo hapo hr akamwambia anilipe cash kwanza ndo mengne yafate. Nikapewa zangu narud kukaa getini namuona madam wa mishahara anapita amekunja sura kama ganda la fenesi kumbe siku hiyo ilikuwa ndo mwisho kazini. Kurudi kwa hr nimpe laki yake ananiambia hiyo ni ya usumbufu. Sasa na wew uliza kwanza boss bt kama unamuogopa imekula kwako