Mshahara wenye diploma, vyeti

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Naomba kujulishwa mishahara ya kuanzia serikalini kwa wenye diploma au vyeti. Je kuna posho ya nyumba na usafiri? Maana Dar...
 
Natafuta mtaji. Acha tharau!!!
 
Diploma ni 311000(TGS B1) certificate ni 249000(TGS A1)

Dogo Mpigamisuli kama haujui kitu piga kimya

Jamani diploma tunaanzia na TGS C1 ambayo ni kama 350000/= take home! Hii ni kwa idara ya kilimo na mifugo.
 
Last edited by a moderator:
Mshahara mdogo sana. Ndo maana wanaenda taasisi binafsi ambako baadhi mtu wa f.4 analipwa sh.laki 9!
 
Jamani diploma tunaanzia na TGS C1 ambayo ni kama 350000/= take home! Hii ni kwa idara ya kilimo na mifugo.
chifu hapo ndipo kuna utata kiukweli kabisa wapo wenye diploma ambao wanalipwa kwa kima cha TGS C1 ambayo ni 410000 na wapo wanaolipwa kwa kima cha TGS B1 ambayo ni 311000

Nadhani hapa kwenye diploma ni kwa kuangalia diploma na diploma na hivi ni vima nje ya vile vima vya sekta ya afya, kilimo nk
 
Je sh. Laki 780,000 serikalini watapata wa level gani?
 
vipi kwa diloma ya civil engineering na water supply
na water resources engineering
 
unaweza kuanzia 400,000 up to 1.7mill, itategemea umepata wapi na una

vipi kwa diloma ya civil engineering na water supply
na water resources engineering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…