Mshahara

Kuna hii likizo ya Easter ambayo imeambatana na wanafunzi Kurudi shule [emoji848][emoji848][emoji848]!
Na kuna shule zingine hawapokei mtoto mpaka uwe umemaliza kiasi mlichoelewana.

Basi tunajikuta kuchanganyikiwa tu rafiki.
 
Kweli TZ tunaishi kama mazombi.
"Mfanyakazi anaishi kwa kubeti,anakopa hadi songesha" haaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…