Amesema kuwa amempa jamaa kila kitu!Mimi pia nalinda bando, kafanyaje kwani??
Mmmmm ina maana we kumpa kila kitu mtu unatoaga.......labda amemuhonga na viela vyote kwene accountHiyo statement take. "Nimempa kila kitu"
Duuh maana anablame naam hii itakuwa katoa hadi tigo huyu mdada..
Pale yake
Si ni bora yeye tumejua wawili tu, ambao sio mastaa tunabadili kila siku na akuna wa kutuesabia tunahesabia mioyoni mwetu je?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Aise yule demu falaa sanaa...alimpa benpol akalaaa wee akaja akampa mlela buree akagongaa weee saa hizi analia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa alitakaje kwani!
Ni bora alivyonunua mbuzi kwenye gunia, kuliko ambavyo angenunua gunia bila mbuzi.
Ebwahahahaha! Isee!We kijamaa sijui huwa unaishi kwenye chupi za watu. Hilo neno never kwani unatembea na nyeti zao? Mtu analia kuwa kabanduliwa, we unabisha...vipi wewe?
Kamla min kabangHiyo statement yake. "Nimempa kila kitu"
Duuh anablame naam hii itakuwa katoa hadi tigo huyu mdada..
Pale yake, asisahau kwenda kupima ngoma
[emoji3][emoji3][emoji16]Ashambwato tayari mkuu....
Kumpa kila kitu anamaanisha alimpa nini vya mwilini au mali?
Kampa 'KIILA KITU'...!!! Mwisho wa kunukuu
ππππMapenzi ni kitu cha ajabu, what do you love in that untidy scrap?
Alafu atakuja olewa huyu..!!Hatukomi...hatujifunzi!
Ni poyoyo huyo