Naenda na Luis Suarez el pistorero!
At his prime, hakuna alieweza kumfikia kati ya hao. Hiyo ligi ya EPL wanayosema ni ngumu, aliwanyoosha wakanyooka.
Suarez atafunga kwa kuvizia ndani ya box, atafunga kwa kukokota tokea katikati, atafunga kwa kukokota kutokea pembeni. Atafunga mabeki wakiwa wamemsahau, atafunga akiwa amezungukwa na mabeki.
Mwisho kabisa, anajua kucheza na saikolojia. Ushindi ukiwa mgumu, Suarez atakutafutia penalty kwa kujiangusha in a very strategic way ndani ya box. Muda wote anawasumbua mabeki.
Naenda na Suarez mazee!