Mshambuliaji kutoka benin anayetaka kusajiliwa na Yanga

Nasikia Mh Mwigulu anataka kuwazidi kete Yanga....
 
Kwa muonekano wa clip anaonekana yupo vizuri. Itakuwa vizuri kwa Yanga iwapo atacheza kweli kama clip inavyoonyesha. Ila hizo clip sio za kuamini sana maana nikikumbuka wakati clip za Mavugo kabla hajasajiliwa zilivyokuwa zikisambaa mitandaoni kwa kweli ilionekana hakuna beki ambaye angeweza kumkaba kwa hapa Tanzania. Alipokuja kuanza ligi matokeo yake mwaka wa pili sasa anarukaruka tu uwanjani sidhani kama jumla ya goli zake zinafika hata kumi.
 
Tujifunze kukuza vipaji vya ndani, hao Benin waje wachukue kwetu. Tubadilike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…