Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jamaa analijua goli sio masihara, anafunga mabao katika mazingira magumu sana huyu Mgambia, ana nguvu, mrefu ana mashuti na kasi ya ngiri, shida yangu ni kuwa kwa vile timu yetu imekosa kitengo kizuri cha superstition basi tutarajie striker huyu kuonekana mchovu.
Watu washampigia hesabu tayari wammalize vipi, wamepanga kutumia njia ile ile waliyotumia kummaliza Baleke ambaye hakika sasa hivi goli halioni tena, nawashauri viongozi wa mnyama striker wetu mpya asiingie kizembe nchini, mrudisheni kwao kwanza akaweke mazingira vizuri kwa sababu Gambia wenyewe mambo haya ya superstitions wako vzr mno, msipofanya hivi striker huyu anakwenda kuchekesha.
Mchezo mbaya sana umefanyika kwa wachezaji wetu ndio maana timu yetu imekuwa nyepesi sana, na tusipoangalia wale wajinga waliotufunga mabao 5 wanaweza kutupiga tena.