Mshambuliaji wa timu ya ligi ya Uingereza Manchester City, Sergio Aguero apata ajali mbaya huko Amsterdam

Mshambuliaji wa timu ya ligi ya Uingereza Manchester City, Sergio Aguero apata ajali mbaya huko Amsterdam

mmariii

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
71
Reaction score
57
Mshambuliaji wa ManCity Sergio Aguero ajeruhiwa katika ajali

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amejeruhiwa katika ajali ya barabarani mjini Amsterdam, saa chache baada ya kuhudhuria tamasha.

Raia huyo wa Argentina, mwenye umri wa miaka 29, anaarifiwa kuwa ndani ya taxi akielekea katika uwanja wa ndege baada ya kuhudhuria tamasha la muimbaji Maluma.

City imesema "alikuwa Uholanzi katika siku yake ya mapumziko na amepata majeraha".

Polisi Amsterdam wameithibitishia BBC kwamba watu wawili walikuwa ndani ya taxi iliyohusika katika ajali katika eneo la De Boelelaan mjini humo.

ag.jpg
aga.jpg
 
Kuna mechi kubwa masaa 48 baadae hakutumia busara kusafiri wakati manshit ina mechi kubwa j1 na Chelsea
 
Back
Top Bottom