Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Kama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe
halafu mnasema anafundisha mambo mazuri ya kujitambua....vijana wa sku hz sijui bwana....
 
Chakula hakipikwi ili kitupwe itakuwa ni ujuha.. Kila kitu katika maisha kinafanywa au kufanyika kwa lengo au kwasababu maalum
kama hiyo uliyomfundisha ya kwenda kumloga mumewe ...mnatesa watu mno .....Malipo yenu hayatasubiri mwisho wa Dahari,Ni hapa hapa Duniani...
 
Never on earth njoo kule pembezoni nikufundishe kale kamchezo
Huo Mchezo Umelaaniwa hadi kwenye BIBLIA, Miji ya sodoma na GOMORA iliangamizwa kwa moto wa kiberiti, take it as a warning though....Monk
 
Mleta mada huna point ila unavitu unavyoamini wewe na unataka watu wote waamini hivyo kwa kuwatisha badala ya kutoa point ili waijue kweli na waifate.
Sikutishii....ni uamuzi wako kuamua cha kuchagua MUNGU au shetani.....huyo ni Agent tu
 
Hii JF imejaa wachawi na walozi ...tena hawajifichi,Mimi namharibia nn huyu mshanajr? kuna biashara iko nyuma ya hii kitu au...haya ila penye ukweli patasemwa tu....Anahamisha watu wa MUNGU kwa kuwafundisha Uchawi...hiyo iko wazi
 
mbona jina lako lina maaaaana "maisha popote" mwache bwana afanye maisha ya kuelimisha jf
hujawahi kusoma makala zake......kama unaendelea kumtetea...jitahidi uondoe hiyo signature yako maana unamkufuru MUNGU
 
kama umeacha kwann bado unawafundisha watu kuloga na ukiwatajia na mchanganyiko kabisa?....acha werevu wa kitoto
 
naamini kuna misheni anapaswa kuikamilisha huyu anaye zungumziwa hapa. Hata kama anadai aliyapitia aliishi navyo na sasa hayuko tena huko but naamini kuna kitu nyuma ya pazia.

as long as mwenyewe kasema ANAJUA KWANINI ANAANDIKA HAYA MAMBO SASA.
Great....and a very dangerous Mission...yeye pekee ndo anajua
 
Nilivyomuelewa mleta mada ni kwamba, kuna wengne wanatumia elim anayotoa mshana negative, yan wanajifunza na wana ku practice sasa mtu aki practice nikuwa tayar kapata elim kutoka kwa mshana ingawa elim hyo ameitumia negatv mf. Dawa ya kumuwekea mume aliyoilezea wengne wataenda kufanya hvyo na italeta effect kwa atakaewekewa moja kwa moja elim atakua kaitoa kwa mshana ijapokuwa pengne mshana alikuwa na lengo zur tu la kutoa elim hyo, sasa labda mtoa mada anapenda mshana atoe elim lakin asielezee moja kwa moja kwa kutaja vitu vinavyohusika na namna ya kufanya wakar wa kutengeneza dawa flan aelezee nusu tu coz akimalizia wengne wanajifunza uchaw hum wanaenda kuloga japo sio wote, mf. Mafunzo anayopewa mgambo ni tofaut na anayopewa mwanajeshi so mshana usifundishe mbinu zote ili wachaw wasiongezeke hivyo ndivyo nilivyomuelewa mtoa post
 
Loops E="Evelyn Salt, post: 13799397, member: 65641"]mshana jr ahsante kwa hii dawa ya kumuweka mme kiganjani hivi ulisema mtoni inatupwa usiku au mchana?[/QUOTE]
Ooops nimekwisha
mshana jr nipe dawa ya kujikinga na mwanamke anaetaka kuniweka kiganjani
 
maishapopote

Huyo anayejiita Mshana Jr. Wala asikusumbue, hana lolote alijualo huyo, yeye kazi yake kukopi na kupesti ujinga uliozagaa kwenye mtandao.

Hana alichosomea Afrika Kusini wala Kaskazini.
 
asome Masomo ya Kiroho yapi hayo ambayo hutaki kuyainisha Hapa,Be straight mwambie akitaka kuelewa Wema wa MUNGU asome BIBLIA.....Period,acha uchawi wako hapa,Wapare bana!

Wakati unachanganua aina mbali mbali za kuwaloga watu ulikua hujui unamkampenia Boss Gani? Badilika mzee,pamoja na wapare kufukuzwa uchagani kwa hayo mambo yenu bado mzee hujajua uko upande Gani?
Usipitilize tafadhali ongea pumba zako zote lakini nilenge mimi binafsi usuhusishe kabila langu imani yangu na hata familia yangu
Halafu pia toa maoni yako bila kuleta dharau kashfa na vijembe! Kwakuwa mwisho wa siku maoni yatabaki kuwa maoni na hayatabadilisha lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…