Mshana Jr akatoa mzinga wa Konyagi, binti akatoa KY gel

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kijana mtanashati mtaani kwetu aliyekuwa jogoo wa mtaa kwa mabinti zetu, siku hizi kabadilika sana tabia na mwenendo wake wa maisha.

Bar kaadimika, mara kadhaa nimemuona akiingia kwenye nyumba za ibada.
Kilinge chake cha ndumba na ngae kakifunga, hakifanyi kazi tena, sijui ni baada ya kupigwa keleb za nguvu na jini pale gesti Mwananyamala?

Watu maswali hayakujauka vinywani mwetu hadi pale mnyapiaji wa mtaani kwetu Miss Natafuta alipotujulisha kuwa siku hizi Mshana Jr ana mchumba wa kilokole.

Heee!!! Kumbe mambo ndiyo yako hivyo? I wish him all the best, nilijisemea kwa sauti ya chini huku nikiendelea kusoma uzi wa ndyoko ambao ulikuwa ukichombezwa vizuri na ngebe za GuDume, General Galadudu na MBITIYAZA.

Siku zikikatika na ndipo juzi Miss Natafuta ananiletea umbea mpya kuwa eti kule honey moon, Mshana Jr aliamua kuweka wazi madhaifu yake kwa mkewe kuwa bila kupiga jibapa la Konyagi tendo la ndoa linamboa, ndipo na yule mrembo wa kilokole akatoa KY gel yake na kusema bila kuzibuliwa mtaro haioni raha ya dunia.

Ujumbe.
Ukitaka kuwa na mke mwema, basi anza wewe kuwa mwema, kila mtu ana mapungufu yake, ni kuvumiliana na kuchukuliana mizigo na kusameheana.
Mke/mume mwema hapatikani kwenye nyumba za ibada ila ni Mungu pekee anayemleta.

Unaweza ukakutana nae sokoni, kwenye basi au popote pale. Muombe Mungu akupatie, ila usimpangie Mungu kuwa ni wapi umpate mke mwema.

38864880_10216473083602411_1354719954598887424_n.jpg
 
Kijana mtanashati mtaani kwetu aliyekuwa jogoo wa mtaa kwa mabinti zetu, siku hizi kabadilika sana tabia na mwenendo wake wa maisha.
Bar kaadimika, mara kadhaa nimemuona akiingia kwenye nyumba za ibada.
Kilinge chake cha ndumba na ngae kakifunga, hakifanyi kazi tena, sijui ni baada ya kupigwa keleb za nguvu na jini pale gesti Mwananyamala?
Watu maswali hayakujauka vinywani mwetu hadi pale mnyapiaji wa mtaani kwetu Miss Natafuta alipotujulisha kuwa siku hizi Mshana Jr ana mchumba wa kilokole.
Heee!!! Kumbe mambo ndiyo yako hivyo? I wish him all the best, nilijisemea kwa sauti ya chini huku nikiendelea kusoma uzi wa ndyoko ambao ulikuwa ukichombezwa vizuri na ngebe za GuDume, General Galadudu na MBITIYAZA.
Siku zikikatika na ndipo juzi Miss Natafuta ananiletea umbea mpya kuwa eti kule honey moon, Mshana Jr aliamua kuweka wazi madhaifu yake kwa mkewe kuwa bila kupiga jibapa la Konyagi tendo la ndoa linamboa, ndipo na yule mrembo wa kilokole akatoa KY Jelly yake na kusema bila kuzibuliwa mtaro haioni raha ya dunia.
Ujumbe.
Ukitaka kuwa na mke mwema, basi anza wewe kuwa mwema, kila mtu ana mapungufu yake, ni kuvumiliana na kuchukuliana mizigo na kusameheana.
Mke/mume mwema hapatikani kwenye nyumba za ibada ila ni Mungu pekee anayemleta.
Unaweza ukakutana nae sokoni, kwenye basi au popote pale.
Muombe Mungu akupatie, ila usimpangie Mungu kuwa ni wapi umpate mke mwema.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Karibu Miono, usinitenge. Mimi ni nyota ya alfajiri iang'aayo sana
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
We bujibuji asubuh asubuh umenichefua na mambo yako ya kuzibua mitaro,nusura tu nigonge ki-harrier cha watu kwa nyuma...
 
😱😱😀😀😀
hii fasihi tamu
 
Back
Top Bottom