Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
We bujibuji asubuh asubuh umenichefua na mambo yako ya kuzibua mitaro,nusura tu nigonge ki-harrier cha watu kwa nyuma...
Chifu salama? Ile avatar ya zamani umepeleka wapi? Ilikuwa inakupa credit kubwa machoni petu hapa JF ila hii ya sasa NO. Utajali ukirudisha?Karibu Miono, usinitenge. Mimi ni nyota ya alfajiri iang'aayo sana
Naunga hoja mkonoChifu salama? Ile avatar ya zamani umepeleka wapi? Ilikuwa inakupa credit kubwa machoni petu hapa JF ila hii ya sasa NO. Utajali ukirudisha?
Weka vzr hii my dear dadaJiwe ameshamtuma RC kumuondoa rais wetu kwenye kiti chake
Mkuu,aliyekuwa ana mtibua Defao ni nani?Hivi sumaku haichafui nyota na kuharibu mustakabali mzima wa maisha?
Naona yule mkurugenzi aliyekuwa akimtibua tibutibu Defao mwisho wake unaendelea kuwa mbaya!!!!
Mkuu,aliyekuwa anamtibua Defao ni nani?Kila dhambi ina hukumu yake...
Jr[emoji769]
Umepatikana demise chamdeko aliokoka lini, mshika mbili moja laza idondoke..![emoji15][emoji15][emoji15][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Ngoja mzee tupatupa aje atupe mikakati ya siri ya kuzoa majimbo yote VUTA-NKUVUTEPoa mrembo wa babu Asprin, i missed you. Niko busy na kufanya figisu wagombea wetu wapite bila kupingwa
@mshan jr wakubwa wanasema kwamba ukisemwa halafu usijibu hoja kukubali au kupinga basi maneno hayo ni kweli bila kupigwa. Hivyo nashauri jibu hizo hoja[emoji15][emoji15][emoji15][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Unajibu vizuri.. lakini najiuliza hivi ukitumia ky kwa pale pale mbele. Je msuguano huwa ni uleuleHalafu iko very addictive
Si ujaribu..Unajibu vizuri.. lakini najiuliza hivi ukitumia ky kwa pale pale mbele. Je msuguano huwa ni uleule
mwanza kwetu,
Chifu salama? Ile avatar ya zamani umepeleka wapi? Ilikuwa inakupa credit kubwa machoni petu hapa JF ila hii ya sasa NO. Utajali ukirudisha?
Chifu salama? Ile avatar ya zamani umepeleka wapi? Ilikuwa inakupa credit kubwa machoni petu hapa JF ila hii ya sasa NO. Utajali ukirudisha?
Chifu salama? Ile avatar ya zamani umepeleka wapi? Ilikuwa inakupa credit kubwa machoni petu hapa JF ila hii ya sasa NO. Utajali ukirudisha?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]@mshan jr wakubwa wanasema kwamba ukisemwa halafu usijibu hoja kukubali au kupinga basi maneno hayo ni kweli bila kupigwa. Hivyo nashauri jibu hizo hoja
mwanza kwetu,