BibieNimeipata.....asante
Hesabu zangu nisaidie 'MY'[emoji85]Ha haa we Mshana njoo upige hesabu hapa
Naanza kukusaidia hesabu zenyewe nina uadui nazo!Hesabu zangu nisaidie 'MY'[emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Naanza kukusaidia hesabu zenyewe nina uadui nazo!
Halafu kuna ujumbe hapa unakuhusu nawe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Mmmh...! Mimi?Halafu kuna ujumbe hapa unakuhusu nawe
Eeh wewe ndiyoMmmh...! Mimi?
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Eeh wewe ndiyo
Mbona aibu tena[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Muungwana hongera kwa kupata tuzo mambo yanajieleza endelea kufundisha sio mpaka kila mtu aelewe wanaoelewa wanatosha.Asante kwa kunitetea...! Sitakusahau
Poa kaka asante sanaM
Muungwana hongera kwa kupata tuzo mambo yanajieleza endelea kufundisha sio mpaka kila mtu aelewe wanaoelewa wanatosha.
Haya bhana....mpaka katoto kanaota meno hata kuja kukatazama shoga ake?Bibie
Ha haaa tatizo wewe mambo mengi kama unga wa ngano shostieHaya bhana....mpaka katoto kanaota meno hata kuja kukatazama shoga ake?
Hahahhaha.....mie sa hivi niko hola kotekote.Ha haaa tatizo wewe mambo mengi kama unga wa ngano shostie
Sikupatii picha shavu litakua limenogaje saivi!Hahahhaha.....mie sa hivi niko hola kotekote.
Si unajua ulezi wa bwana na mwana?
Vipi lakino shem hajambo?
Nafurahi kusikia hivo.Sikupatii picha shavu litakua limenogaje saivi!
Shem yu mzima sana
Tunakusubiri kuleNafurahi kusikia hivo.