Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Karibu sana JF...
Vigezo vilivyotumika ni vipi kwenye hizo takwimu zako?
Unaweza kukuta mwana JF ana posts 30,000+ na Likes 2,000+. While kuna mwana JF mwingine anaweza kuwa na posts 1,000+ na Likes 500+.....ukizichanganua hizo takwimu unaweza kupata namba halisi ya hoja yako husika mkuu. Unless otherwise unaongelea total posts digits.
 
mkuu trophy unapewa baada ya kufikisha idadi fulani ya likes, mfano ukifikisha likes 10 unapata trophy, ukiziongeza mpaka zikafika 50 hiv unapata tena trophy n.k, kwa hiyo trophy ni mpaka ufikie milestone fulani ya likes ndio zinaongezeka
 
Pamoja na pumba zangu ila natakiwa niwe wa pili nina 10.2%....... 1260/12344*100
 
mkuu trophy unapewa baada ya kufikisha idadi fulani ya likes, mfano ukifikisha likes 10 unapata trophy, ukiziongeza mpaka zikafika 50 hiv unapata tena trophy n.k, kwa hiyo trophy ni mpaka ufikie milestone fulani ya likes ndio zinaongezeka

kwangu haiko hivyo
nilipata trophy kwa likes kama 20
halafu kuna post napata like zaidi ya 70 sioni trophy ndo nashangaa..
i believe kuna errors....
 
Ngoja na mimi nikaze angalau, kama jamiiforums robot, afu ntaleta mrejesho hapa ILA kwa USHIRIKIANO WENU yote yanawezekana tuanze na hii comment kwa kudondosha like za kutosha
 
hahaaaaa, take it easy mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…