Mshana JR mbona unatuacha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Haya mambo bwana tushakuzoea Sana unajua tusemeni ukweli katika Watu wazuri Sana me naamini Mshana amesaidia Watu Wengi na ameathiri iman uelewa na akili za Wengi Sana na tunamkubali.

Misimamo yake ndo yenye nguvu Sana Ana post zenye kufikirisha lakini kwa wale wanaojifanya wajanja na wanafki huwa hawamkubali.ila kwa binadamu haswa wenye utu bila mshana kunapoa Jamiiforum unajua kwa sisi VIJANA wa Jf mshana Ni Kama mzazi in front of us.

Mshana ni Mshana tu na maadui zake tunawajua ila fresh brother we piga Kazi zako vema utakuwa busy Sana au Kuna jambo limetokea maana ..Imani Bora Ni ile kujitoa Kama yesu na hauhitaji gari ama pesa kumuona MUNGU Bali Moyo Safi wa kuvumilia yote.shikamoo popote usomapo thread hii
 
Huyu jamaa ukileta ukaribu naye anaweza akugeuze ndondocha wake humu..
Huyu hata aki ku quote haraka fanya maombi.
 

Wizi na dhulumati za kwenye uchaguzi mkuu zina cha kufanya na kupotea kwa Mshana Jr

Atakuwa angali ana tafakari hasa la kulimia meno.
 
Tangia ashindwe vibaya uchaguzi ameenda kuishi na mamisukule yake anayoyalimisha huko Gininiga
 
Mkuu umesahau disemba ni mwezi wa kwenda kuhesabiwa, sisi wachaga ikifika disemba tunaanza likizo mapema ikiwa ni pamoja na off social media

Kaskazini hoyeee
 
Mkuu umesahau disemba ni mwezi wa kwenda kuhesabiwa, sisi wachaga ikifika disemba tunaanza likizo mapema ikiwa ni pamoja na off social media

Kaskazini hoyeee
Inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…