[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haonekani siku hizi huyu mr's Mshana jr tumemmisi kwakweli.
Ni wajibu wetu kukuuliza ili tujue Ndugu Mshana Jr umempeleka wapi Demiss wetu (chamdeko)
Tumemisi uwepo wake humu jukwaani .
Kama kuna nguzo anamalizia kuhusu mambo yenu ya Sayansi ya Giza ni vyema kutuweka wazi tujue..!
Kwani ukilima shamba unategemea nini? Si mazao?Noamba mnisaidie kumtag Mshana jr hapa aje atoe majibu .
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] wapiNipo na Demiss huku anawasalimia sana
Wewe subiri manyoya tu maana makali yako yashapungua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] wapi
Ndimu na udongo kwa sana kurutubisha ardhi kwasasaKwa hiyo kitu kimeshajibu mkuu tuwekane wazi tu soon unamleta mshana jr junior.
kwahiyo sasa hivi akitema mate hayafiki hata miguuniKwani ukilima shamba unategemea nini? Si mazao?
Nitasema account ilikuwa hacked[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja Moneytalk apite hapa mkuu mi simooo.
hahaaa..acha basiii duhhWewe subiri manyoya tu maana makali yako yashapungua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]