Mshana Jr umempeleka wapi Demiss (Chamdeko wetu)

Wifi yako huwa anapenda ni manage vzuri pesa ndio maana unaona ana check na kubalance hapa.
Ila ana elewa nyie watu wa muhimu
Kwani wewe hutaki shemeji mpenzi wangu?

Embu waachie uhuru wenye uwezo wao, au wataka wifi yangu azeekee nyumbani kwa kujifanya unamjali sana?
Mbona mipango yenu ya familia mwaipangia sebuleni?
Wasalimieni mumu na Mr Miller
 
Mi ndugu yake acha nile tu we umekula vingi mi mara moja moja inakuuma,wakati tupo wadogo akipigwa namsaidia ulikuwepoo,nna haki zote mimi acha wivuu Ney
Asiyekuwa na wivu hana mapenzi, kwahiyo naomba ushushe matumizi. Matumizi yako yapo juu sana kulingana na kipato cha mume wangu, mnamfanya mpenzi wangu anashindwa kujulikana kama ni kijana au mzee kwa stress za kutaka kuwaridhisha ndugu zake wakati kipato chake ni kidogo.

Embu usiwe mbinafsi wifi yangu hata auntie zako hawajala hizo chips kuku mwaka wa tatu huu kisa babayao kapatwa na anguko la kiuchumi, kwanini wewe hutaki kutuelewa? [emoji26]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mpenzi ndugu zangu itabidi tuwafunge speed gavana
Na mpenzi wangu, Yaani hawa ndugu zetu wametushinda tabia. Lakini baby embu jaribu kuwaambia ukweli kuhusu kipato chako labda itasaidia kidogo ujue wanadanganywa na huo umaridadi wako kumbe umaridadi huficha umaskini.
 
Usjali mylove leo nlimpa ofa kwakuwa ana umwa tu
 
Sasa hao kina aunt wamenikuta huoni mmeo alivyokubali haraka, na hata sizili kula vya kaka yangu ,we wifi wewe mimi najua ndugu yangu si haba itakuwa anakuona mchoyo ndio maana anakubania,utuwacheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…