Mshana JR vs Hizbu Sharifu waganga wa jadi wa JF

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Naona account mpya ya Hizbu Sharifu imekuja kwa kasi tofauti na Mshana Jr huyu Hizbu anafunza watu kumbana na uchawi wakati Mshana JR alikuwa na mastory ya kutisha.

Kuna haja ya kufungua jukwaa la viringe humu ndani.

USSR
 
Hiyo ni sayansi sio uchawi,
Kwani wewe ukienda kusimama kwenye kichuguu ukampigia simu ndugu yako wa Dar mkawa mnaongea na kuelewana huo ni uchawi?
 
Naona account mpya ya Hizbu Sharifu imekuja kwa kasi tofauti na Mshana Jr huyu Hizbu anafunza watu kumbana na uchawi wakati Mshana JR alikuwa na mastory ya kutisha.

Kuna haja ya kufungua jukwaa la viringe humu ndani.

USSR
Hahahaha[emoji23]
 
Mshana huwa anaeleza vitu vichache sana ili kuendana na hadhira ila anajuwa vitu vingi sana kwenye ulimwengu wa Supernatural#Amini kwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…