MSHANA JR VS THE BOSS PIGA KURA HAPA NANI RAIS WA JF?

Much respect kwa hao wote, nenda forum ya Kenya kule kuna mtu anajiita Gezaulole, ni hatari tupu.
 
NA AKILIZAKO BADO UNATAFUTA RAISI WA JF

UNAHISI DARUSO HII

HIVYO ViROBA AVIFAII KUNYWENI CHALLENGER AMA EMPIRE VYA UGANDA VIWAINGIE VIZuriI
Km unaijua empire cane spirit basi lazma una vinasaba na kagera [emoji2] [emoji2]
 
Hivi hawa wagombea walipiga kampeni au tunachagua bila kuwa sikiliza Hadi zao kwetu au ndo kutupa jiwe gizani litakalo mpata ndo mshindi utalitibu ulio tumika ni mbovu ujawaitoke alafu raisi jamii forum achaguliwa kwa njia wazo zuri njia iloyo tumika na mashaka
 
Hakuna hata kampeni zilizopigwa my dear.... Ni ubatili mtupu[emoji125] [emoji125]
 
Dah... Rais bila ya Katiba?? Akikataa kuachia madaraka mtaanza kulialia tena..
 
weraaaa
 

Attachments

  • FB_IMG_1483169294154.jpg
    14 KB · Views: 30
Criteria ni zipi kuwapambanisha hao wajumbe.. ulozi? siasa safi? siasa za maji-taka? critical thinking? au busara?

BTW... humu kila mtu ni Rais.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…