Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23]sio vizuri...mwachie kidogo basiNiko nae ndani katulia akipata mambo flani hivi...
hope soYupo around,... atakuja
ongezeaHujasahau vingine
lete screenshots hapa...Hivi zile pm zako za kipindi kile ulizokuwaga unamtumia Mshana alikuwaga anazijibu?
kuguna vepee???Mmmmmhhhhh[emoji31]
Wewe ni ke mkuu?Mmmmmhhhhh[emoji31]
Kwa nini unataka nipigwe ban la kudumu?kunichukia hivyo hadi unataka kuniwekea mtego huo ndo nini??[emoji21]lete screenshots hapa...
unataka ukamsage???? yule mwingine vepee ulimkoboa vizuriWewe ni ke mkuu?
Nina ubuyukuguna vepee???
nikuchukie una nini...sichukii wa mkoani mimi....ili uninyime mazao akuu[emoji38]Kwa nini unataka nipigwe ban la kudumu?kunichukia hivyo hadi unataka kuniwekea mtego huo ndo nini??[emoji21]
hapo ndo penyewe sasa..lete tuushambulie saa hii...[emoji28]...Nina ubuyu
ugua poleMtafute pm sio lazima kuanzisha uzi na vitu vya kijinga kama hivi!
Unajaza saver tu humu