Mshana yo sooo missed i swear....

nikuchukie una nini...sichukii wa mkoani mimi....ili uninyime mazao akuu[emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na sasa hivi tunapandisha mazao yetu bei na Mh.Rais wetu ameshalibariki hilo,mtakoma!![emoji1]
 
Jini chakula chake ni damu,mimi chakula changu ni chura![emoji1].......huyo dada hapo juu amshukuru sana mungu leo kwa kuweza kuruka kihunzi changu![emoji30]
Hakikuwa size yangu ndo maana sijakiona kabisa hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…