wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wakuu ni siku nyingine tena iliyotulivu na rasharasha za mvua hapa na pale!!
Wakuu leo asubuhi huku kitaa kuna mvua ilinyesha kidogo!! Sasa wakati miminaelejea zangu stendi ikawa kuna bodaboda wanawahi kukimbiza abiria wao wasilowe!!sasa kuna bodaboda iliteleza kidogo ilikuwa imembeba mdada wa makamo hivi!!katika yule dada anajizuia asidoke maana ile bodaboda iliteleza akaachia ule mkoba wake ukadondoka kila kitu kilichomo mle ndani kikawa adharani!!wakuu hamuwezi amini mle kwenye mkoba kumbe kulikuwa na kopo lile la 1ltr la sabuni ya unga ile ya toss alikuwa ameshindilia huko makande!! Lile kopo likabimbirika hadi pale barabarani katikati!!wakati anaokota vitu vyake mimi nikamwambia dada kaokote na lile kopo kulee ni lakwako!!!wakuu nimekatwa jicho kama sio yeye vile kaangusha!!!akamwambia yule dereva washa pikipiki tuondoke achana na huyu mshamba!! Akaayaacha yale makande! Hapo hapo nikakumbuka kuna tread humu iliwahi kuusema "mikoba ya wanawake hubeba vitu vingi "ni hilo tuu wakuu mshangao wangu!!kazi njema!!