FIFA haiitambui siasa ndugu uko dunia ya ngapi?Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
Watakapounganishwa watu wa karibu ya Makonda kwenye zuio hili bila shaka , MO na Simba pia wataunganishwa .Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
umedanganywa na nani ?FIFA haiitambui siasa ndugu uko dunia ya ngapi?
Elimu yako imeishia hapo?Watakapounganishwa watu wa karibu ya Makonda kwenye zuio hili bila shaka , MO na Simba pia wataunganishwa .
Mungu mbariki Mzee Kilomoni
MalinziSimba ina bahati ya kuongozwa na viongozi wavunja sheria! Kina Makofia. Kaburu, Aveva, Rage, Hassanoo, hata huyu Haji! Kwa hiyo ni sawa tu DAB akiwa mshauri mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
Mtoe Manji mahakama ilimsafisha hakuwa na hatia
Hai waliingilia maslahi ya kisoka . Sasa huyo Makonda anamadhara gani kwenye soka kimataifa? Kama ni the case ya kuuweka uzi si mbaya ila in real sense uwepo wake hauna madhara kama tunavompaisha.Wewe ndiyo nikuulize swali hilo. Uko Dunia ipi?
Yuko wapi Sepp Blatter na jeuri yake yote? Ni Wamerekani hao hao. Wako wapi watemi wa Concacaf ya America ya Kusini na Carribean?