Wengine wanatushauri tuwepeleke veta watoto veta baadala ya chuo kikuuHabari.
Kwa Wale wenye mpango wa kusoma afya.
Naomba nitaje course zisemi zinaajira Ila kwa mwenye upeo wa mbali hizi course zina fursa Sana hasa upande wa afya.
Course hizo ni.
1. BIOMEDICAL ENGINEERING
2. PHYSIOTHERAPY.
3. OCCUPATIONAL THERAPY.
4. NURSE ANESTHESIA.
5. RADIOLOGY
6. DENTAL OF DENTAL SURGERY(DDS)
7. OPTROMETRY.
8. AUDIOLOGY AND SPEECH PATHOLGY.
Sijataja course za Medicine ,maabara,nurse hizi ni potential Ila mtaa umeshatema Sana.
Competition imekuwa kubwa
VETA ni ujuzi. Mtu Mwenye ujuzi hawezi lala njaa hata Kama hajaajiriwa. Naunga mkono wazo la VETAWengine wanatushauri tuwepeleke veta watoto veta baadala ya chuo kikuu
Kwaiyo yafaa tupiganie matumbo basi?VETA ni ujuzi. Mtu Mwenye ujuzi hawezi lala njaa hata Kama hajaajiriwa. Naunga mkono wazo la VETA
Itakuwa vyema na haki ukapendekeza ambazo wewe unaona zina fursaNaona form 6 mnadanganyana,, Haya kasomeni mtatukuta mtaani.
muhas hapanaNaweza kupata nafasi kwa muhas au cuhas kwa diagnostic radiotherapy ufaulu phy,bios,chem CCC
Kila mtu ana nyota yake mkuu.Kusoma chuo kikuu ni kupoteza mda kwa ss n bora ujikite kwenye ufundi wa veta maisha yanaweza kuwa simple kinyume na hapo vijana wengi watajiua kwa kutegemea makubwa baada ya kuhitimu halaf hamna ajira me nawaambien kama hamtaki haya kasomeni izo degree sie tuko mtaani huku
Hivi humu ndani kuna vijana wadogo hivi??Naweza kupata nafasi kwa muhas au cuhas kwa diagnostic radiotherapy ufaulu phy,bios,chem CCC