Habari Wadau,
Ninataka nianze kufuga kuku wanyama(Broiler), kwa iyo nilikua nahitaji mshauri wa karibu wa kunishauri jinsi ya kuendesha ufugaji ili kuepuka hasara itakayoweza kujitokeza kwa kutokujua,
Kwa maana nyingine nahitaji 'mentor' katika ufugaji wa broiler,
Kwa aliye tayari kunisaidia napatikana kibaha
Ahsanteni