Mshauri wa Micro-finance Unatolewa

Mshauri wa Micro-finance Unatolewa

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habarini wakuu, ninatoa huduma ya ushauri wa kitaalamu kwa watu wanaotaka kufanya biashara ya Micro-finance au waliokwenye biashara tayari,nina uzoefu na Elimu ya kutosha.
Huduma nazotoa ni kama ifuatavyo
1.Taarifa za masoko.
2.kuandaa miongozo na bidhaa (loan product).
3.kuandaa application forms, mikataba,and other related forms.
4.Repayment and delinquency management
5.Microfinance system management -advice
6.Micro loan insurance Advice.

Na vingine vinavohusiana na na utoaji mikopo.

Karibuni sana wadau.PM please
 
Back
Top Bottom