Specifically unataka nini mkuu, au general investment advice? Hope its about a specific investment? Do you want to hire or employ? Taasisi au individual?
Tunahitaji mshauri wa mambo ya uwekezaji (investiment advisor) kwa ajili ya mradi wetu ambao tunataka kuufanyia kazi. Kama kuna mtu anataarifa yoyote basi tuwasiliane.
Hilo group kuna wataalamu mbalimbali sasa nikipost watadai mawasiliano ya muhusikaAny advice from general to specific areas. Kama unamjua mtu au kampuni inayotoa hiyo huduma nijulishe tu.