Unapolenga kupata mafanikio makubwa katika biashara yako unatakiwa uwe na mshauri wako au mtu wa kushauriana naye. mtu mwingine anaweza kuona umuhimu wa kuwa na mshauri na kuwa tumia watu alionao karibu yake mfano rafiki, ndugu wa karibu, mke au mume wake.
Kama unafanya biashara ndogo ndogo huenda hao wakakufaa lakini kama unataka kufanya biashara kubwa unahitaji kuwa na mshauri/ Mwalimu (Coach/ Mentor).
Pia unaweza kuwa na watu waliofanikiwa na marafiki ambao wana Mawazo mazuri au wanapenda maendeleo. Faida ya kuwa na mshauri ni kuondokana na shughuli za kubahatisha na kuwa na mikakati thabiti.
Pia huyu atakusaidia kwenye changamoto ya kujua kwa biashara yako. Wakati mwingine inaweza kuwa vigumu kupata mshauri kutokana na gharama kubwa ya kumlipa mshauri.
Nakuomba usiwe na wasi wasi unaweza kupata mshauri kwa gharama nafuu.
Natoa ofa kama unahitaji Mentor au Business Coach Niko tayari kukuhudumia.
Kwa maelezo zaidi nipigie simu 0755394701
Mwandishi wa makala hii Charles Nazi ni Mjasiriamali, mshauri wa biashara, mtunzi wa Kitabu cha mbinu za biashara.