Teh Teh.....ajenge nyumba? uzuri wake haumruhusu kujishughulisha na shughuli za maendeleo...
Namshauri achukue hatua ya kupimwa akili kama yuko sawa...
Teh TehAache Tabia ya kutovaa chu*pi
Mimba hataki kubeba au hana uwezo wa kubeba??Ahahaa, Mimi namshauri abebe mimba azae umri unaenda