mshaurin huyu mwanamke jaman

mshaurin huyu mwanamke jaman

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
778
Reaction score
269
mumewe anafanya kazi hana muda wa kuongea na mke wake yeye na bb kuchat mke wake alikua akikwazwa na tabia hiyo kwan yeye alikua na kasimu ka tochikasichokua na hata internet

Sasa amepata kasimu ka internet basi mumewe anapata wivu c unajua kwenye jf raha tu ,asicheke bwana ananuna saa jaman afanyaje
 
tushauri nini hapo?
Jinsi mumewe anavyoona wivu?

Mmh, jf kuna mambo!
 
hizi teknolojia za kisasa tusipokuwa makini zitaathiri sana mawasiliano ndani ya nyumba ... unakuta baba, mama, watoto etc kila mmoja yuko bize kivyake kiasi kwamba interaction kati yao inakuwa so minimal
 
familia ya wajinga hiyo.....hawataendelea kwa hayo
 
Back
Top Bottom