mumewe anafanya kazi hana muda wa kuongea na mke wake yeye na bb kuchat mke wake alikua akikwazwa na tabia hiyo kwan yeye alikua na kasimu ka tochikasichokua na hata internet
Sasa amepata kasimu ka internet basi mumewe anapata wivu c unajua kwenye jf raha tu ,asicheke bwana ananuna saa jaman afanyaje
hizi teknolojia za kisasa tusipokuwa makini zitaathiri sana mawasiliano ndani ya nyumba ... unakuta baba, mama, watoto etc kila mmoja yuko bize kivyake kiasi kwamba interaction kati yao inakuwa so minimal