Mshaurini mtangazaji huyu

 

ze utamu is back!!!
 
Sizungumzii muonekano, nazungumzia sauti. assume kuna interview kutafuta mtangazi na kutumia kigezo cha sauti- wewe utamchukua nani? original au artificial?


Si ndo mlimani tv wamemchukua huyo baada ya kupass interview!!

Hakuna binadamu katika karne hii aliye 'real' kwa 100%. Msikilize hata Babra Hassan wa Clouds FM-Power Breakfast, mwanzo alikuwa anamuiga sana Fina Mango (kuna jamaa mpaka alimpigia simu na kumwambia) na Dina naye alikuwa anamuiga sana Marehemu Amina Chifupa.

Waache vijana wagange njaa, si unajua kibongo bongo ku-copy na ku-paste kila sehemu.
 
Kama marini hasani anakubalika,sio vibaya kuigwa na msapoti dogo tunaiga vizuri, hata mimi namkubali marini.
 


Ngoja asikie habari hii akutafute akutundike Kisu kama yule tin wetu aliyechinjwa koo na kifua Uingereza.Unajua siku hizi mabadiliko ya kidunia na maisha yanafanya baadhi ya watu wasiwe na hofu ya mauaji.
 

mtakufa na vijiba vya roho!!!aiiiiiiiiiii na nyie jf
 
kama kakutandikia mkeo hapa si sehemu muafaka na wewe mtandike wake mmalizane,...au unasubiri penalt kama simba
 
Hii siyo chuki binafsi, kama nimemuelewa vizuri mwandishi wa hii kitu anaonyesha hana tatizo lolote na kazi yake bwana Nurudin bali ni ile hali ya kutokuwa original (the sense of being real). Ofcoz jamaa anaonyesha kuipenda sana kazi yake na ni mtu anayeonyesha kujiandaa vyema kabla ya kipindi hasa anapokuwa kwenye kipindi cha mahojiano, which is good and I give him 5 kwa hilo but namuunga mkono mtoa maada hii kuwa jamaa hawi original ( hawi real ), nilikuwa sijui kama anaiga utangazaji wa Marina Hassan but huwa naona wazi kabisa jamaa sio yeye kabisa, sio real kabisa
 

swala la kuwa original ile sio original comedy
swala je kwa kuiga huko mnakosema ameharibu,je wwasikilizaji
wamekuwa na tatizo nayo??swala ni kukidhi haja ya mioyo ya wasikilizaji si wazandiki
 
mbona Membe anamuiga JK na hamsemi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…