CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
khhaa! i salute u mkuuanaweza akawa anamtania au anamkomoa..........mwambie shosti wako naye amjibu hivi "Ingawa umenishtukiza kwa mda ambao sina hela na mimi nipo bize pia ila nitachanga maana nataka ndoa yako itangulie ili uwe best man wangu kwenye arusi yangu,maana sasa hivi tunamalizana na wazee''
then ataeleza mwenyewe kama alikuwa anatania
Hakuna cha kushahuri hapo. Si kaka amesha amua?mh Mwali jaman,hebu vaa uhusika afu ushauri!
Mwali,shost kaumia yan mpk namuonea huruma make alikuwa ashajiaminisha kuwa ndo mumewe mtarajiwa.ghafla bin vuu ndo katumiwa hyo sms. nimejaribu kumshauri lakn!